Viwakilishi katika ngeli

Viwakilishi katika ngeli

Viwakilishi hutumika katika kiarifu kusimamia nomino au kitenzi. Kuna viwakilishi vya mwanzo (ambavyo pia huitwa viambishi) na vya kati.

Viwakilishi hutegemea viashiria vya kwanza na nafsi. Tazama mifano ifuatayo. Chupa hii: Mtoto anaichukua chupa. Kioo hiki: Mchezaji amekivunja kioo. 

Viwakilishi vya nomino mbalimbali katika ngeli

Mbali na ngeli ya A-WA hali ya umoja, katika ngeli hizi nyingine, pana uhusiano wa karibu sana kati ya viashiria vya kwanza na viwakilishi vya nomino.