Matumizi ya 'po'

“Po” hutumika kwa njia mbili:

  • Po-ya mahali: k.m. Anaposimama ni pachafu, wachezeapo ni safi.

  • Po-ya wakati: k.m. Tulipofika mvua ilianza kunyesha; Waimbapo, watu hufurahia.