Kivumishi -ngine na kirejelei

Ili kuelewa kivumishi –ngine na kirejelei, sharti uelewe mambo mawili:

  • matumizi ya kivumishi –ngine katika kila ngeli.
  • matumizi ya kiwakilishi amba– katika ngeli.

Matumizi yatakayokuelekeza kuelewa ‘o’ rejeshi. ‘O’ rejeshi hiyo ndiyo itakayotumika pamoja na -ngine.