Alama za usemi

Alama za usemi ( “ ” ) / ( ' ' )

Hutumiwa:

kunukuu maneno ya mnenaji moja kwa moja k.m Mwanasiasa alisema,"Nitaanzisha miradi ya maendeleo."