Vihusishi

Vihusishi

Vihusishi ni maneno yanayoonyesha uhusiano wa nomino au kitenzi na mahali k.m.

Mwalimu amesimama kando ya ubao. Pia, huonyesha uhusiano wa nomino au kitenzi na mahali nomino nyingine ipo k.m. Mtoto anacheza karibu na mgeni.

 

Mifano zaidi:

karibu na, ukingoni mwa, nyuma ya, ndani ya, mbali na, mbele ya, nje ya, upande wa, kando ya, katika, katikati ya, kwenye, -ni n.k.