Nukta mbili

Nukta mbili ( : )

Hutumika:

Mwanzoni mwa maelezo. k.m Shereheni, vyakula vingi vilipikwa: chapati, wali, kima, ugali na ndizi.