Kihisi

Kihisi ( ! )

Hutumika kuonyeshea hisia za mzungumzaji k.v. furaha, mshangao, majonzi, hasira n.k.

Mfano: Kumbe alikuwa mgonjwa!

"Niondoke haraka" Mama alimkaripia mtoto.