A-unganifu

A -unganifu hutumika kuonyeshea uhusiano kati ya nomino mbili au vitenzi.

A-unganifu hubadilika kutoka ngeli moja hadi nyingine.

Tazama jedwali lifwatalo

Ngeli

Nomino

Kiashiria(i)

Kiwakilishi

Matumizi

 

KI - VI

Kioo

Hiki

Ki

Nitakiosha kioo

 

Vioo

Hivi

Vi

Tutaviosha vioo

 

LI - YA

Tawi

Hili

Li

Unalikata tawi

 

Matawi

Haya

Ya

Mnayakata matawi

 

U - I

Msumeno

Huu

U

Anaununua msumeno

 

Misumeno

Hii

I

Wanainunua misumeno

 

U - U

Ugomvi

Huu

U

Anausuluhisha ugomvi

 

 

 

I - ZI

Nguo

Hii

I

Nitaifua nguo

 

nguo

hizi

zi

Tutazifua nguo

 

U - YA

Uwele

huu

u

Anaudondoa uwele

 

mawele

haya

ya

Anayadondoa mawele

 

YA - YA

Manukato

haya

ya

Anayanunua manukato

 

 

 

 

 

 

U - ZI

Ufa

Huu

U

Anauziba ufa

 

Nyufa

hizi

zi

Wanaziziba nyufa

 

I - I

Hewa

hii

i

Naipumua hewa

 

PA - PA

Sokoni

hapa

pa

Aanapapendelea sokoni

 

KUKU

kucheza

huku

ku

Ninakupendelea kucheza

 

M - M

sakafuni

humu

m

Anamwosha sakafuni

 

Zoezi

Chagua jibu sahihi

1.Kibago _____ ( ya, cha, la, wa) jikoni kimevunjika.

2. Nywele _____ ( wa, ya, za, vya) watoto hunyolewa.

3. Unga _____ ( ya, wa, cha, za) ugali ni mweupe sana.

4. Maskanini _____ ( kwa, pa, mwa, ya) mchwa ni kichuguuni.

5. Rafiki _____ ( ya, wa, la, cha) kweli ni akufaaye kwa dhiki.

6. Chumbani _____ ( cha, ya, la, pa) mama  husafishwa kila siku.

7. Mitume _____  ( ya,wa, za,mwa) Mungu ni watakatifu.

8. Chupa ____ ( wa,cha,ya,la) dawa huwekwa mbali.

9. Shati _____ ( ya, la,cha, za) mtoto ni safi.

10. Waridi _____ ( la, wa, ya, za) arusi hunukia.