'enye' na 'o' rejeshi

-enye na •o• rejeshi

Tayari tumeona kuwa kivumishi – enye hutumika kuonyeshea hali ya kumiliki. Aidha ‘ o ’ rejeshi vilevile inaweza kutumika kuonyeshea hali ya kumiliki. Iangalie mifano ifuatayo:

  • Mtoto mwenye ndizi mkononi.

  •  Mtoto aliye na ndizi mkononi.