Parandesi

Parandesi/mabano ( )

Hutumika:

  • Kuonyesha mambo au maneno yasiyokuwa ya lazima k.m Mwalimu wangu (ni mcheshi) hutufundisha kwa ufasaha.
  • Kuonyesha mambo zaidi k.m Nilivichukua vyombo vyangu (jembe, vikombe, vitabu) na kujiondokea.