Kirejelei 'o' cha tamati

Kirejelei •o• cha tamati (mwisho)

Kirejelei ‘o’ hutumika mwishoni mwa kiarifu (kitenzi) katika wakati wa mazoea. Ziangalie sentensi zifuatazo.

  •  Mtoto ambaye hujitahidi hufua dafu (kiwakilishi amba-) Mtoto ajitahidiye hufua dafu. (kirejelei ‘o’)

  •  Kitabu ambacho hutumiwa hukikanganyi (kiwakilishi amba) Kitabu kitumiwachohakikanganyi.(kirejelei ‘o’)