Mkwaju

Mkwaju ( / )

Pia huitwa mkato.

Hutumika:

  • Kutenga vibadala vya maneno.yaani badala ya maneno kama vile ‘au’, ‘ama’, ‘kwa’, ‘na’ k.m Wa z e e/v i j a n a wamealikwa. Ninunulie mkate/kaimati na chai/m a z i w a .
  • Kutenga nambari au tarakimu.

    - Tarehe k.m 7/6/2006

    - Namba za kumbukumbu za mkutano Kumb. 1/2006