Nafasi

Kuacha nafasi ya kutosha baina ya neno moja hadi lingine.

Kamwe tusishikanishe maneno yasiyostahili wala tusikate maneno yasiyostahili. k.m

  • Makau ame enda nyumbani – Makau ameenda nyumbani.
  • Shisia na Alele ndiowerevu – Shisia na Alele ndio werevu.