Aina za insha

- Katika mfumo wa 8-4-4, kufikia darasa la nane, mwanafunzi anastahili kuwa amejua kuandika insha mbalimbali kama vile:

  • Insha za mada teule
  • Insha za hotuba
  • Insha za mjadala
  • Insha za picha
  • Insha za mazungumzo
  • Insha za barua
  • Insha za kumbukumbu