Insha kuhusu ziara

Insha kuhusu ziara: Mambo ya kuzingatia

  • Wakati wa ziara.
  • Ziara ya kutoka na kuenda wapi?
  • Yaliyotokea katika ziara

 

Mfano:

Ziara mbugani Tsavo

- kuingia garini - kuomba - Kung’oa nanga - Kupiga soga kati ya wanafunzi. - Kununua matunda katika soko fulani. - Kuendelea na safari. - Kula matunda na vitamu vitamu vingine. - Kutapika garini. - Panchari. - Kufika mbugani na kujionea. - Kuchokoza kima. - Kuumia kwa baadhi ya wanafunzi. - Kuondoka mbugani. - Kula hotelini. - Kurudi makwetu.