Mtindo wa maswali

Mtindo wa kuulizia maswali ya insha

- Maswali ya insha huulizwa kwa mitindo tofauti. Baadhi ya mitindo hii ni kama vile.

  • Insha za mwanzo.
  • Insha za tamati.
  • Insha za methali.
  • Insha za hadithi.
  • Insha za ndoto.