MATUMIZI YA NDI PAMOJA NA NGELI.  by  Joab Otieno

6

SHABAHA

Kufikia mwisho was kipindi mwanafunzi aweze kutumia -ndi pamoja name ngeli.

  • Ndi hutumika ili kusisitiza.

Hutumika Pomoja na Ngeli mbalimbali.

Taja baadhi ya ngeli katika lugha.

NGELI

A-WA

U-I

I-ZI

KI-VI

LI-YA

U-ZI

I-I

U-YA

U-U

  • Ndi hutumikaje pamoja na

Ngeli ya A-WA

Ndiye- umoja

Ndio-wingi

  • Tunga sentensi katika umoja na wingi ukitumia picha hizi.

Wingi

Wanafunzi ndio waliofunzwa darasani.

 

  • Ndi hutumikaje pamoja na Ngeli ya KI-VI

Ndicho - umoja
Ndivyo - wingi

Tunga sentensi kwa umoja na wingi ukitumia picha hizi

Kikombe hiki ndicho kilitumiwa

Vikombe hivi ndivyo vilivyotumika.

           NGELI.                  UMOJA        WINGI

  • LI-YA.                    Ndilo          Ndiyo

  • U-ZI.                     Ndio.          Ndizo                       

  • I-I.                        Ndiyo.        Ndiyo

  • U-YA                      Ndio.          Ndiyo

  • U-U.                      Ndio.          Ndio

  • YA-YA.                   Ndiyo.        Ndiyo