Tarakimu  by  Olpha Janduko

6

 

Tarakimu kuanzia 100,000-1,000,000.

Andika tarakimu hizi kwa maneno.

Watu 107,333

Miti 808,696

 

Viti 732,589 

Magari 1,484,203

 Kalamu 1,012,969

 

Majibu

 1. 107,333 - Watu mia moja na saba elfu,mia tatu thelathini na watatu.
 2. 808,696 - Miti mia nane na nane elfu,mia sita tisini na sita.
 3. 732,589 - Viti Mia saba thelathini na mbili elfu,mia tano themanini na tisa.
 4. 1,484,203 - Magari milioni moja,mia nne themanini na nne elfu,mia mbili na matatu.
 5. 1,012,969 - Kalamu milioni moja,kumi na mbili elfu,mia tisa sitini na tisa.

 

Zoezi

Tunga sentensi ukitumia tarakimu zifuatazo.

 • 508,659 - Wanafunzi.

 

 • 400,069 - Sahani.

 • 783,421 - Miche.

 • 1,020,003 - Mayai.

 • 1,008,106 - Vitabu.

 

 

Majibu

 1. 508,659 - Wanafunzi mia tano na nane elfu,mia sita hamsini na tisa
 2. 400,069 - Sahani mia nne elfu na sitini na tisa.
 3. 783,421-Miche mia saba themanini na tatu elfu,mia nne ishirini na moja.
 4. 1,020,003 - Mayai milioni moja,ishirini elfu,na tatu.
 5. 1,008,106 - Vitabu milioni moja,nane elfu,mia moja na sita. • 07fdc7da-b33a-4482-b039-6b1de8bd3ab6 by elimu used under CC_BY-SA
 • 1f09fdd2-9490-48f3-b8e0-4538dffce0ba by elimu used under CC_BY-SA
 • 2df67066-e91f-47ed-b635-98e9d1f16a98 by elimu used under CC_BY-SA
 • 4e5da68b-078d-47cb-8ce8-f5392707d98f by elimu used under CC_BY-SA
 • 6db99680-8d79-46b4-a4df-eb971937352e by elimu used under CC_BY-SA
 • aad15a88-2195-4277-a0d3-295831467707 by elimu used under CC_BY-SA
 • c2244875-4afc-47ea-b800-bc8d89d823ba by elimu used under CC_BY-SA
 • f3451ef7-bf87-42e6-892b-7fc81fb75f58 by elimu used under CC_BY-SA
 • f5b6a1bd-42e7-4186-848f-0e8a5ec42fa2 by elimu used under CC_BY-SA
 • f5cfc169-f416-4185-b504-df6f10703d67 by elimu used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.