Maswali kadirifu

1. Taja vyombo kumi vya usafiri ardhini huku ukitoa maelezo kwa ufupi. 

2. Taja vyombo kumi vya usafiri majini huku ukitoa maelezo kwa ufupi. 

3. Taja vyombo kumi vya usafiri hewani huku ukitoa maelezo kwa ufupi.