Maswali kadirifu

A. Taja majina ya maumbo yafuatayo.

 

B. Vitu vifuatavyo vina maumbo gani?

a) sambusa
b) moyo
c) gurudumu
d) figo
e) yai