Viumbe wa kike na kiume

 

- Litazame jedwali lifuatalo

Kike Kiume
Mama Baba
Dada Kaka
Bibi/ nyanya Babu
Mke Mume
Bibi Bwana
Bibi arusi Bwana arusi
Malkia Mfalme
Mama taifa Rais

kike

kiume
Ajuza   Shaibu
Mjakazi  Mtwana
Binti           Bin
Wifi      Mwamu
Shangazi/amati /mbiomba    Mjomba/hau Halati/hale ami/amu
Mavyaa   Bavyaa
Mkemwenza   Mwanyumba

Tasa                      Gumba
Mrembo         Mtanashati
Mfaruku  Mjane
Mamkwe             Bamkwe
Mwanamwali   Kapera
Koo/mtetea      Jogoo/jimbi
Mfarika          Fahali
Tembe        Kipora
Jike Dume
Mbarika        Beberu