Maswali kadirifu

Zoezi:

Jibu maswali yafuatayo.

 

1. Eneo la bunge huongozwa na _________.

2. Mwenyekiti wa halmashauri ya mji mkubwa huitwa ________.

3. Mtu aliyechaguliwa na wanakata ili awawakilishe katika halmashauri ya wilaya au mji ni ________.

4. Kiongozi wa kata huitwa ________.

5. Anayeongoza wilaya ni ________.

6. Jirani zangu wawili walikuwa na mgogoro kuhusu shamba lao. Walienda kwa chifu lakini akashindwa kuwapatanisha. Pana uwezekano chifu aliwaeleza waende kwa nani?

7. Kutokana na maafa yaliyotokana na ulevi wa pombe haramu, lawama zilielekezwa kwa ____ na ____ wa kata hiyo.

8. Kiongozi na nchi ni __________.

9. Kwa kawaida askari wa ________ hudumisha amani vijijini.

10. Nchini Kenya, tuna ________ minane.