Maswali kadirifu

Zoezi:

Jibu maswali yafuatayo.

 

1. Hapo zamani maharam yalijengwa wapi?

2. Mlima mrefu zaidi barani Afrika u wapi?

3. Ziwa tana hupatikana wapi?

4. Ni kisiwa kipi katika bahari Hindi hukuza karafuu kwa wingi?

5. Yataje mataifa yaliyozitawala nchi hizi enzi za ukoloni?

a) Kenya             b) Tanzania

c) Msumbiji        d) Somalia       e) Sahara Magharibi.

 

6. Taja utaifa wa watu wa mataifa yafuatayo:

a) Urugwai              b) Tanzania

c) Uganda                d) Ghana

e) Zambia                 f) Togo.