Maswali kadirifu

Mimea ifuatayo huzaa nini?

1. Mpunga -
2. Mbuni - 
3. Mtura -
4. Mtini -
5. Mparachichi -
6. Mkanju -
7. Mkwaju -
8. Mgomba -
9. Mtufaha -
10. Mfenesi
11. Mpaipai
12. Mwembe -
13. Mpareto -
14. Mpera -
15. Mchenza -