Maswali kadirifu

Eleza kazi za vyombo hivi vya teknolojia.

1. rununu
2. tarakilishi
3. mdahalishi
4. mwengoya
5. kipepesi
6. baruameme
7. mtandao
8. wavuti
9. kikokotoo
10. kiwamba cha runinga
11. ufuru au arafa
12. kidubwasha
13. kadiwia
14. simukadi
15. utandawazi