Uakifishaji

  • Uafikishaji unatuwezesha kuyasoma yale yameandikwa kwa urahisi na kuyaelewa vilivyo. Iwapo maandishi yetu hayataakifishwa vilivyo, basi itakuwa vigumu sana kuyasoma na kuyaelewa.

Uakifishaji basi inahusu:

1. Nafasi

2. Herufi kubwa

3. Kituo kikuu/nukta/kitone ( . )

4. Koma/kituo/mkato ( , )

5. Alama ya kiulizi ( ? )

6. Nukta na koma ( ; )

7. Nuktambili ( : )

8. Kihisi ( ! )

9. Parandesi/mabano (   )

10. Kistari kirefu ( _ )

11. Kistari kifupi  ( - )

12. Mkwaju ( / )

13. Ritifaa ( ' )

14. Alama za usemi ( " " ) ( ' ' )

15. Nukta za dukuduku ( ... )

  • Pata maelezo zaidi na matumizi katika kurasa zifuatazo.