Walemavu

 

- Neno mlemavu liko katika umoja, katika wingi ni walemavu.

- Linapatikana katika ngeli ya A - WA.

- Mlemavu ni mtu ambaye viungo vyake vya mwili vina kasoro. 

 

- Je, unajua mtu yeyote aliyelemaa?