Insha kuhusu Siku yangu ya kwanza katika darasa la sita  by  Joab Otieno

6

 

Siku ilianza vipi ?

 

Uliandamana na nani kule shuleni?

 

Shughuli zilizoendelea darasani ni zipi?

 

Tuzingatie nini tunapoandika insha zetu? Zingatia yafuatayo.

Hati nzuri inayosomeka.

Urefu wa kutosha wa Insha

Lugha sanifu isiyo na makosa ya kisarufi

Matumizi mazuri ya msamiati

Sentensi fupifupi zinazoeleweka

Matumizi ya istiara na methali