Kauli ya kutendewa na kutendewa  by  Ruth Odachi

6

Kutendewa ni mnyambuliko kutokana na kitenzi tenda. Kutendewa ni hali ya  kitendo kufanyiwa kwa niaba ya mwengine.

Hebu tazama picha hii

Mvulana huyo alipakiwa jivu usoni. Alipakiwa jivu ina maana kuwa kuna aliyemfanyia kitendo cha kumpaka rangi usoni pake.

Soma Mifano hii kwa sauti

 • Funga _____ fungiwa.
 • Soma _____ somewa.
 • Piga _____ pigiwa.
 • Shangilia _____shangiliwa.

Andika vitenzi hivi katika kauli ya kutendewa

 • Fagia ______.
 • Ruka _____.
 • Imba ______.
 • Fungua _____.

Tazama picha hizi Kisha uandike sentensi katika kauli ya kutendewa

Majibu yanayotarajiwa

 • Abiria wanasafiria kwenye mtumbwi.
 • Mimea inapaliliwa  na akina mama.
 • Viongozi wanaimbiwa na waimbaji.

  • 10074bbc-6d4b-43da-9b7b-101db4cf0db7 by elimu used under CC_BY-SA
 • 1701fa1d-e740-4297-ae7f-e2a73a9c07a8 by elimu used under CC_BY-SA
 • 3d2acfc4-0851-4e99-a5cc-9352654df2af by elimu used under CC_BY-SA
 • 85845d75-88c1-4088-93d4-259e15497d1f by elimu used under CC_BY-SA
 • c4c2a7bb-916e-4638-8e08-f2a4bed5c23c by elimu used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.