KISA CHA MZEE UBOGA  by   

Kwenye kifungu tutakumbana na aina mbalimbali ya mavuno kama vile:

Maharagwe

 

Mihogo

 

Viazimbatata

 

Viazivikuu

Katika vikundi mjadili vifaa halisi mlivyo oneshwa awali.

Kujadili

 

Soma kwa sauti kisa  cha Mzee Uboga.
 
Maswali
 
 1. Mzee Uboga aliishi wapi?
 2. Mzee Uboga alijulikanaje?
 3. Mzee  Uboga alipendelea chakula kipi zaidi?
 4. Makao mapya ya Mzee  Uboga yalikuwa wapi?
 5. Kwa nini mlinzi wa usiku hakuweza kumwona Mzee Uboga hata  siku  moja?
 6. Kwa nini mlinzi akataja methali kosa Mona haliachishi mke?
 7. Jamii ya mlinzi ilikuwa ya watu  wangapi? 
 
Majibu
 
◆Kijiji cha Muruguru
◆Mzee mkali
◆Viazi vikuu
◆Shimoni katika shamba lake.
◆Alifika shambani kabla ya wakati wa mlinzi kushika zamu.
◆Alitaka ahurumiwe
◆Sita • 394683e7-c6d2-4ac7-a963-ecbce35ad56c by elimu used under CC_BY-SA
 • 3e887429-8b0e-4260-b6a5-22a3b1c195d9 by elimu used under CC_BY-SA
 • 422c8184-56ce-47f0-b152-5a00d8908125 by elimu used under CC_BY-SA
 • 4e349cc0-e294-4238-aa6c-0f78de44bd5d by elimu used under CC_BY-SA
 • b815fc99-28c1-432a-a494-1a1de8e0292b by elimu used under CC_BY-SA
 • bd771281-63d1-444e-a0be-dea5f85f3c21 by elimu used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.