Ufahamu; Rambaramba  by  firstname lastname

6

UFAHAMU

Harusi ilikuwa inagonga mlango.Nyumba ilikuwa tayari imejazwa mapambo ya kila aina.samani tu ndizo zilikuwa hazijakuwa tayari.seremala, kama ada ya mafundi,alikuwa bado akimdurisha Baraka kwa ahadi za ''Njoo kesho''.Ahadi ambazo bila shaka zilidhihirisha uongo mwingi kuliko ukweli.Yote ilikuwa kwa ajili ya tamaa ya kupapia kazi zaidi na pesa.

Baraka alilazimika kuambua nyayo zake siku moja mpaka kwa mlenga,seremala wake, ili kujua hatua alizopiga.Alipofika alimkuta ameshughulika na samani za wateja wengine.Akasimama nyuma yake akishuhudia hamkani zake. mara rada kunyoosha mbao.Mara msasa kulainisha mbao.Waama alikuwa amezishughulikia jari moja,nazo zake baraka zilikuwa gumba.

Baraka alipomsogelea mlenga na kumsalimia, mlenga
alishtuka kusikia sauti ya Baraka kiasi cha patasi na tindo
alizoshika mikononi kumwanguka.jasho jembamba
likaanza kumtiririka tiriri mwilini.


Alitaka kijitetea harakaharaka lakini maneno
yakakwama; akasalia kumunyamunya. Baraka naye
akamwacha ajipalie makaa yeye mwenyewe.


''Mimi na wewe hatujakuwa na uhasama. nimekuamini
siku za kukuamini lakini kumbe wewe ni kamba mbovu.
Harusi ni wiki ijayo na kila siku huishi'nenda -rudi'
zako.Mbona unanigeuza nguruwe najikaanga kwa mafuta yangu mwenyewe?

pesa zangu naona zinawafaidi tu wengine wasstahiki
zaidi yangu. Nilikanywa lakini nilitia masikio yangu
pamba ili nikichangie kitegauchumi chako na sasa
najuta,'' Baraka alikaripia kwa sononeko.


''Mama, mimi nilikuahidi utapata masofa yako
kabla ya Siku ya harusi. Shadi hi deni.Mimi hapo
nilipo nitakuwa MTU kabla. Wa mwisho kuapua. Niall
changu. Hispanic uliyonifanyia siwezi kukulipa
nuksani.Siwezi kuiahirisha