Ufahamu; Kuendako mema kurdi mema  by  Gladys Nyagah

6

Vitendawili ni nini?

Vitendawili ni mafumbo ambapo huhitaji mja afikirie ndiposa aweze kujibu kwa ufasaha.

KAZI UBAONI

 • vitendawili
 • Askari mlangoni
 • Halo halo hadi lamu
 • Agnes maridadi
 • Kutoa ni kuongeza

ZOEZI

 • Bibi mfupi anapika chakula kitamu ____
 • Askali mlangoni _____
 • Mama nieleke _____
 • popo mbili zavuka mto _____
 • Bak badika bak baduka _____
 • Kuku wangu hutagia mibani ______
 • Nishike kiuno tucheze ngoma _____
 • Nanywa supu natema nyama ____
 • Agnes maridadi ____