Ufahamu; vyombo vya ufafiri by
Linet Moraa
6
VYOMBO VYA USAFIRI
Vyombo hivi hutusaidia kusafirisha mizigo pamoja na watu kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Vyombo vya usafiri...
ANGANI

Hivi ni vyombo vinavyosafirisha watu au mizigo mbalimbali kupitia hewani.
Vyombo hivi ni kama...
Eropleni

Helikopta

Parachuti

Puto ya hewa ya joto

Pia tuna...
Ndege za kivita

Ndege hizi za kivita hutumika na wanajeshi wanapoenda vitani.
Zoezi
- Taja vyombo vya usafiri vinavyopitia angani.
- Chora na utaje vyombo vitatu vya usafiri angani.
- Kwa kawaida ndege za kivita hutumika na kina nani?