Maswali kadirifu

 

1. Kwa taa za barabarani, toa maan ya rangi zifuatazo

  a) Nyekundu

  b) Kijani

  c) Kaharabu

2. Je, kivuko mlia kinamaanisha nini barabarani?

3. Utafanya nini ukiona alama ya matuta ya barabarani?