Mimea, matunda, mazao

Mingi ya mimea hutupatia matunda na mazao mbalimbali.

Baadhi ya mifano

Tazama picha zifuatazo:

Mgomba zao lake ni ndizi


 

Mnazi, zao lake ni nazi


 

Mbuni, zao lake ni kahawa


 

Mzabibu na huzaa zabibu


 

Mchungwa na zao lake ni machungwa


 

Mwembe na zao lake ni embe


 

Mlimau na zao lake ni malimau.


 

Mparachichi na zao lake ni parachichi


 

Mpapai na zao lake ni papai


 

Mnanasi na zao lake ni nanasi


 

Mpunga


Mtomoko - tomoko

Mtufaha - tufaha

Mzambarau - zambarau

Mpera - pera

Mbono - mbarika

Mtonga - mabungo

Mnyanya - nyanya

Mpea - pea



  • mmea_na_zao by https://en.wikipedia.org/wiki/Angle used under CC_BY-SA
  • mgomba by www.todayprimetimes.com › Eco-Biz And Money used under CC_BY-SA
  • mnazi by catalogs.indiamart.coml & eLimu used under CC_BY-SA
  • mbuni by www.viet-coffee.com.au & eLimu used under CC_BY-SA
  • zabibu by www.amusingplanet.com & eLimu used under CC_BY-SA
  • mchungwa by orangefruitandcandies.blogspot.com/ & eLimu used under CC_BY-SA
  • mwembe by www.daleysfruit.com.au/forum/mango-tree2 used under CC_BY-SA
  • mlimau by en.wikipedia.org & eLimu used under CC_BY-SA
  • mparachichi by www.flashhaiti.com & eLimu used under CC_BY-SA
  • mpapai by www.traditionaloven.com used under CC_BY-SA
  • mananasi by www.gardenplantsvs.com & eLimu used under CC_BY-SA
  • mpunga_1 by currentaffairsonline.in & eLimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.