Maswali kadirifu

 

1. Taja aina kuu kikundi za wanyama uwajuao.

2. Mtu anayetunza wanyama wa kupandwa kama vile punda, farasi na kadhalika huitwa _________. 

3. Tofautisha kwa kutoa sifa aghalau tatu kati ya simba na simba marara.

4. Toa sifa tano bainifu kati ya sokwe na tumbili.

5. Kongoni anatofautianaje na nyati?

6. Tofautisha chui na chui milia.