Maliasili ya taifa

- Maliasili ni vitu vinavyotokana na maumbile.

- Mifano: misitu, maji, madini n.k.

- Aghalabu, maliasili ya nchi huchangia katika utajiri wa nchi husika k.m.

- Afrika kusini imenawiri kiuchumi kutokana na utajiri wa madini.

 

Mifano ya madini

Maliasili                     Matumizi / maelezo

Dhahabu.  Madini yenye thamani kubwa. Ni ya rangi ya    manjano mbivu. Hutengenezea mapambo.

Fedha.  Madini ya rangi ya bati. Hutengenezea sarafu.

Shaba.  Ni ya rangi nyekundu au nyeupe. Hutengenezea nyaya za umeme.

Almasi. Madini magumu yaliyo na thamani sana. Hukatia vioo na madini mengine. 

Alumini.  Madini mepesi rangi ya kijivu na fedha.    Hutengenezea kikaango.

Zinki/ferasi.  Madini meupe na samawati. Hupakwa juu ya   mengine ili kuzuia kuota.

Chuma.  Madini ngumu. Hujengea na kuundia vitu.

Risasi. Yana rangi ya buluu na kijivu hafifu. Huyeyuka rahisi kwa kuchomwa. Hutengenezwa  vitu vya vioo na ngamba za sanaa

Zebaki.  Majimaji na rangi ya fedha au nyekundu. Hutumiwa kupika na kuendesha mitambo.

Makaa ya mawe. Huchimbwa chini ya ardhi. Meusi. Hutumiwa  kupika na kuendesha mitambo.

Chumvi.  Madini meupe. Hutiwa kwenye chakula ilikuongezea ladha

Magadi.  Chumvi chungu. Hutengenezea sabuni. Hulainisha chakula wakati wa kupika.

Ulanga. Meupe kama ngamba zilizoshikana. Huchimbwa ardhini.Hutengenezea vitu vya vioo na ngamba za sanaa.

Chokaa. Unga mweupe unaotumiwa kujengea, kupaka kuta za nyumba.

 

Bati. Meupe kidogo. Hufanana na risasi. Ni magumu

Urani. Madini mazito. Rangi nyeupe na ya fedha. Huzalisha nguvu za nyukilia.

Magnesia. Madini meupe. Hutumiwa kutengeneza dawa za  kutibia kiungulia. Huchanganywa na madini mengine na hutumika kutengenezea ndege.

Aloi. Hupatikana kwa kuchanganya madini mawili au zaidi. Hutumika kutengenezea mataa ya kuongozea magari katika mizunguko ya barabara.

Jasi. Jiwe laini la chokaa. Hutengenezea saruji.

Manganizi.  Madini ya kijivu na meupe. Huvunjika rahisi. Hutengenezea vioo.

                • 156cfe20-123e-4d37-9f7b-32a49b9a293c by https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Diamond-diamond_macle1.jpg/elimu used under CC_BY-SA
 • 263e089c-8018-4f86-9ce1-15c2b7b0fe32 by https://en.wikipedia.org/wiki/Mica/elimu used under CC_BY-SA
 • 314bce25-adf4-4de2-867e-9da05b092d3e by https://www.123rf.com/photo_52347353_macro-shooting-of-natural-mineral-stone-sphalerite-zinc-blende-stone-isolated-on-white-background.html/elimu used under CC_BY-SA
 • 3375708f-fb04-44be-89d2-5c56f5feb6a2 by https://en.wikipedia.org/wiki/Aluminium/elimu used under CC_BY-SA
 • 3aede66e-2914-4a2c-b6cf-04cfe8375342 by https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Mercury_escaped.jpg/elimu used under CC_BY-SA
 • 3c426af4-4081-45dd-8a51-53996dda4c4d by https://www.bakeryandsnacks.com/Article/2013/03/04/Sweden-s-Salinity-brings-all-natural-mineral-to-US-salt-reduction-market/elimu used under CC_BY-SA
 • 87fcfc80-3bb7-4d6f-a522-9a208a4495a5 by elimu used under CC_BY-SA
 • 8c08f19c-c713-49f1-94de-f037d5c5f186 by https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Copper_crystals.jpg/elimu used under CC_BY-SA
 • 926e5a96-d3b0-4bd1-a0fe-366ec7f7a6b1 by https://en.wikipedia.org/wiki/Iron used under CC_BY-SA
 • 9b43a000-0e13-497e-bf9a-ae08393cd2dc by https://en.wikipedia.org/wiki/Lead/elimu used under CC_BY-SA
 • b048cc0a-a61f-42aa-b13f-a6f8ce006a4c by https://www.emaze.com/@ATTQCZFQ/elimu used under CC_BY-SA
 • b765ae4b-01b0-4dfd-9d0d-a8441cc26eb6 by http://islandblush.blogspot.com/2014/05/washing-soda-soda-ash.html/elimu used under CC_BY-SA
 • e3c752ce-a987-45e9-9c44-bdca418f6083 by http://eliezerbenjoseph.com/this-is-why-magnesium-is-the-most-powerful-relaxation-mineral-known-to-man/elimu used under CC_BY-SA
 • f1fa33f5-9e4a-4ea8-9f31-860b4dd228b9 by http://mortararchdev.com/elimu used under CC_BY-SA
 • 161b82df-893d-44a3-b9df-28f8a35d585d by http://eliezerbenjoseph.com/this-is-why-magnesium-is-the-most-powerful-relaxation-mineral-known-to-man/elimu used under CC_BY-SA
 • 2bd96dc2-b438-479d-9f93-5b6d38a87a6b by elimu used under CC_BY-SA
 • 52e1645f-e476-488e-a6b9-29113e60eb98 by elimu used under CC_BY-SA
 • 57292a7d-0e18-46b7-ab74-3a2dbe9f3e2b by https://www.bakeryandsnacks.com/Article/2013/03/04/Sweden-s-Salinity-brings-all-natural-mineral-to-US-salt-reduction-market/elimu used under CC_BY-SA
 • 64dc1f92-231a-45e7-871f-c2c461b947ea by https://www.reade.com/products/tin-sn-metal-powder-granule-flake used under CC_BY-SA
 • b403d677-3a89-458b-888b-04d5680ec142 by https://www.kullabs.com/classes/subjects/units/lessons/notes/note-detail/7007/elimu used under CC_BY-SA
 • c4b5c178-6cc4-4885-95ef-599640d2514f by https://en.wikipedia.org/wiki/Aluminium used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.