Maswali kadirifu

 

1. Ni saa ngapi?

a) 11:45         b) 10:50          c) 7:10           d) 9:20 

e) 1:00           f) 6:30

 

2. Nyuso hizi za saa zinaonyesha ni saa ngapi?

a) Not complete

 

3. Chora nyuso za saa zitakazoonyesha saa zifuatazo na uandike katika nambari ni saa ngapi.

i) Saa nne kasorobo.

ii) Saa kumi na mbili na dakika kumi.

iii) Saa mbili kasoro dakika ishirini.

iv) Saa tano na dakika kumi.

v) Saa kumi na moja.

v) Saa tano na nusu.