Sayari

- Sayari ni dubwana linalopatikana angani na hulizunguka jua.

- Kunazo zaidi ya sayari tisa zinazozunguka jua. Zinazojulikana zaidi ni tisa.

- Sayari hizo hupata mwangaza kutoka kwenye jua. Kati ya sayari hizi tisa, ni dunia tu ambapo binadamu huishi.

 

Sayari nyingine inayoaminika kuwa viumbe vinaweza kuishi ni Mirihi.

 

Sayari

1. Zaibaki/zebaki - Sayari ya kwanza iliyo karibu sana na juukatika mpangilio wa umbali wa sayari kutoka kwa jua.


2. Ngandu/zuhura - Sayari katika mfumeo wa jua ambaye ni ya pili kutoka kwenye jua.


3. Dunia - Ni sayari ambayo watu, wanyama na mimea  huishi.


4. Mirihi/sayari nyekundu - Sayari.
5. Mshtarii.
6. Zohali - sayari moja inayozunguka jua yenye peteo na miezi kumi na ni ya sita katika mpagilio wa umbali ea sayari kutoka kwa jua.
7. Kausi.
8. Sarateni.
9. Utaridi.