Msamiati wa mahakamani  by  Joab Otieno

6

Mahakamani

Mahakamanini  wapi?

Mahali ambapo kesi na mashtaka mbalimbali huamuliwa.
Mahakamani pia huitwaje?
  • Kortini
 
Msamiati wa Mahakama ni kama vile?
  • JAJI

Jina lingine la Jaji ni?
  • Hakimu
Hakimuhufanyakazi gani kortini?
  • Huamua kesi au hutoa hukumu

 

  • WAKILI

Anayemtetea mshtaki au mshtakiwa.

  • WASHTAKIWA

Wanaodaiwa au kufikiriwa ndio wenye makosa

 MKUU WA SHERIA(GITHU MWIGAI)

Mshaurimkuuwa  serikali  kulinganana mambo yasheria

MAHABUSU

Aliyehukumiwa kifungo gerezani

Ithibati

Vitu vinavyowekwa au kutolewa mahakamani kama sehemu ya ushahidi. 

ZOEZI


TumiakamusukuandikamaanayaMsamiatiifuatayo.

◆Jela
◆Pingu
◆Dhamana
◆Faini
◆Hukumu
◆Korokoro
◆Rumande
◆Kizimba

 

 

 

 

 

 

 

 

 



  • 1ddd7074-934a-4896-ba85-f3f5ef12d612 by elimu used under CC_BY-SA
  • 4b16fd64-52f5-47e4-9bb9-92cb0bde5d7e by elimu used under CC_BY-SA
  • 4cbfa842-2002-4721-84d7-f01f622f11b7 by elimu used under CC_BY-SA
  • 4f5cf308-9b38-4750-8817-64409e7a69fd by elimuj used under CC_BY-SA
  • 7870d585-6475-4866-9f4f-13258e396b19 by elimu used under CC_BY-SA
  • 7c7a6e50-d934-486c-87d3-c0870bcb1c45 by elimu used under CC_BY-SA
  • b8f9611a-08bf-4521-aa14-78a1ff1212f2 by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.