Viashiria radidi  by  Pius Mungai

6

Maana ya kiashiria

Kiashiria hutumika katika kuonyesha katika wingi ni viashiria. Katika sentensi ifuatayo...
"Mtoto  huyu".
Huyu ni kiashiria

Viashiria radidi

Viashiria radidi hujirudia tu.

Mifano ya viashiria radidi

Katika ngeli ya A-WA

Mtoto huyu huyu
 

Katika ngeli ya LI-YA

Wingu hili hili

Katika ngeli ya U-I

Mti huu huu
 

Katika ngeli ya I-ZI

Simu hii hii
 

Kutunga sentensi za viashiria radidi

1.Mtoto huyu huyu anacheka.

2.wingu hili hili limetanda.

3.Mti huu huu ni Mparachichi.

4.simu hii hii ni ya baba

 

Mifano zaidi ya viashiria radidi  

  1. Hiki hiki
  2. Huyu huyu
  3. Haya haya
  4. Hii hii
  5. Huu huu

 Zoezi

Jaza nafasi kwa kutumia viashiria radidi
1.kiatu___________ni kipya.
2.Gari______ _____ni jipya.
3.shamba ____ _____limelimwa.
4.Nyumba ____ ___ni ya shangazi.
5.Ugali______umepikwana mama

 

Majibu sahihi

1.hiki hiki.

2.hili hili.

3.hili hili.

4.hii hii.

5.huu huu.