Ufahamu; Jamhuri dei  by  firstname lastname

6

Siku ya Jamhuri

Siku ya Jamhuri ni siku ambayo taifa la Kenya lilipopata uhuru kutoka kwa uongozi wa waingereza mnamo mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na nne. Huu ndio wakati Taifa la Kenya lilipojinasua kutokana na sheria za waingereza na kuanza kukuza utamaduni wake,tujuavyo"mwacha mila ni mtumwa".

Sherehe hii huandaliwa katika uwanja mkubwa kwa sababu ya umati wa watu unaohudhuria sherehe ya Jamhuri. Katika taifa letu sherehe hufanyika katika uwanja wa Nyayo.Wafanyi kazi wote wa serikali kama walimu,madktari,wafanyi kazi katika wizara mbalimbali na wengineo

Tunaposherehekea siku hii tunawakumbuka mashujaa wetuwaliopigania uhuru Na hao ni Bildad Kagia,Kung'u Karumba,Jomo Kenyatta,Fred kubai,Paul Ngeina Achieng Oneko.

Siku hiyo tunakuwa na watumbuizaji mbalimbali kutoka jamii zote za taifa letu.

Wasanii,waimbaji wanyimboza Injili na masogora pia hupata muda wakukuza vipawa vyao

  • Raisi wa  Jamhuri hukagua gwaride huku watu wote na wanajeshi wetu wakisimama wima na kuwapa idhini wanajeshi kupandisha bendera.
  • Kisha wanaimba wimbo wa taifa ambao ni maombi kwa Jalali.
Baada ya hayo yote raisi wataifa husimama na kutoa hotuba kwa wananchi wake.
 
Zoezi
 
1.Siku ya Jamhuri husherehekewa lini?
  • wakati wowote
  • tarehe moja mwezi watano
  • tarehe kumi na mbili Disemba
  • tarehe ishirini Oktoba

2.Kulingana na ufahamu ni akina nani husherehekea Jamhuri?
  • Walimu pekee
  • Madaktar ipekee
  • Wafanyikaz iwa serikali wote
  • Raisi wa Jamhuri

 

3.Kwa nini tunasherehekea Jamhuri?
  • kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu
  • kukumbuka wasanii na kina sogora
  • kukumbuka waingereza
  • kukumbuka siku taifa letu lilipopata uhuru

Kukumbuka siku taifa letu lilipopata uhuru.

 
4.Mkaguzi wa wanajeshi ni nani?
  • waigizaji
  • raisi
  • mhubiri
  • mwalimu

(c)Wafanyikazi wa serikali wote.

6

Raisi

5.Kulingana na ufahamu sogora ni nani?

  •  mwimbaji
  •  mchezaji ngoma hodari
  •  mwalimu
  •  raisi

 

 Mchezaji ngoma hodari

6.Ni neno gani lina maana sawa na umati wa watu.
  • thurea  watu
  • halaiki ya watu
  • Punda la watu
  • Mlolongo wa watu

 

Halaiki ya watu

7.Toa maana yanenoidhini.

 

  • ruhusa
  • msamaha
  • furaha
  • heshima

 

ruhusa
8.Ni akina nani walipiganiauhuru wa nchi?
  • mashujaa
  • waingereza
  • raisi
  • wahubiri

6

9.Watumbuizaji ni kina nani kulingana na ufahamu.

 

  • Wasanii,walimu na madaktari.
  • sogora,wasanii na waigizaji.
  • waigizaji,wezi na sogora.
  • madaktari,mawaziri na wasanii.

 

sogora,waigizaji na wasanii.



  • 07309fe1-a1b8-454c-8d0d-43a6f133ceaf by elimu used under CC_BY-SA
  • 2bb97282-69f5-4a2a-baa5-6ffb57888275 by elimu used under CC_BY-SA
  • 31e9f07a-79c0-4580-9ffa-0cef816b64ab by elimu used under CC_BY-SA
  • 5f5b0994-d08d-4c0a-9f5c-22fc17bce464 by elimu used under CC_BY-SA
  • ac52257f-da67-497c-b6db-abb7375837c4 by elimu used under CC_BY-SA
  • b3fca2b7-f3ec-4130-a3bb-4aff59b97d68 by elimu used under CC_BY-SA
  • 4b1f2524-dc4d-4ae3-9c38-f4d55786f2c6 by elimu used under CC_BY-SA
  • 812c4d07-fd83-4fff-a7d7-827e4ef43189 by elimu used under CC_BY-SA
  • 900000e8-3eda-4556-a1fb-0518af20b43c by elimu used under CC_BY-SA
  • 94c781e2-e9ef-47fc-8c5d-956522934691 by elimu used under CC_BY-SA
  • a56214a6-5a33-49ff-8199-b0d514d3ec97 by elimu used under CC_BY-SA
  • ac5b9c78-9c95-449b-8150-5f9d7e95dbe7 by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.