Tarakilishi  by  Pius Mungai

6

 

MALENGO

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze kueleza maana ya tarakilishi Maana ya tarakilishi...

Tarakilishi ni kifaa cha kielektroniki cha kuhifadhi, kukokotoa na kuchanganua taarifa zilizoingizwa pamoja na kuongoza mitambo mbalimbali.

Tarakilishi pia huitwa Kompyuta

 

Sehemu za tarakilishi

Tararakilishi huwa katika ngeli ya I-ZI
Tarakilishi ina sehemu tofauti tofauti

(a)kitengokikuu cha uchakataji

 

(b)Kipanya

 

(c)kiwambo au mulishi

 

(d)Bodidota au bodiyadota

 

Maswali

  1. Eleza maana ya kompyuta
  2. Taja sehemu nne za kompyuta
 

Majibu

  1. Tarakilishi ni kifaa cha kielektroniki cha kuhifadhia, kukokotea, na kuchanganua taarifa zilizoingizwa pamoja na kuongoza mitambo mbalimbali.
  2. kipanya ,bodibota,mulishi, kitengo kikuu cha uchakataj.