Vitendawili  by  Gladys Nyagah

6

Vitendawili ni nini?

Vitendawili  ni mafumbo ambapo huhitaji mja afikirie  ndiposa aweze kujibu kwa ufasaha.
 

Kazi ubaoni

  • Vitendawili
  • Askari mlangoni
  • Halo halo hadi lamu
  • Agnes maridadi
  • Kutoa ni kuongeza

 

Zoezi

  • Bibi mfupi anapika chakula kitamu _____
  • Askali mlangoni _____
  • Mama nieleke _____
  • Popo mbili zavuka mto _____
  • Bak badika bak baduka _____
  • Kuku wangu hutagia mibani _____
  • Nishike kiuno tucheze ngoma _____
  • Nanywa supu natema nyama _____
  • Agnes maridadi _____

 

Tamati

Somo lilifundishwa na kueleweka vyema