Teknolojia

Teknolojia ni maarifa ya ujuzi wa kisayansi unaotumika katika vitu kama vile zana au mitambo.

Mnamo miaka ya hivi majuzi, teknolojia imekuwa kwa mapana na marefu.

Nyanja nyingi k.v. kilimo, viwanda, ufundi na hata mawasiliano zimenufaika kutokana na teknolojia.

Hata hivyo, kama wahenga walivyonena hakuna masika yasiyokuwa na mbu.

Teknolojia inazo athari mbaya.

Katika nyanja za mawasiliano, teknolojia imepiga hatua kubwa.

Vifuatavyo ni vifaa na pia njia za mawasiliano ya kisasa.

Aina za teknolojia

Kitenzambali

Kiyuweo (laptop)

Rununu - simu ya mkono • Tarakilishi by Triposoft used under CC_BY-SA
 • K.4.42.2 by https://en.wikipedia.org/wiki/Communication & eLimu used under CC_BY-SA
 • kikokotozi by www.tradeindia.com & eLimu used under CC_BY-SA
 • kitenzambali by http://www.express.co.uk/news/uk/420177/Armed-police-storm-house-to-arrest-man-holding-a-TV-remote & eLimu used under CC_BY-SA
 • kiyuweo by www.newtimes.co.rw/section/article/2016-05-12/199796/ used under CC_BY-SA
 • Rununu by www.colecommunity.com › Buddy's Blog & eLimu used under CC_BY-SA
 • vitambazo by http://www.dhgate.com/online-shopping/industrial-handheld-scanners-online.html & eLimu used under CC_BY-SA
 • runinga by www.imagui.com/a/dibujo-de-la-television-iMdXKjgR6 & eLimu used under CC_BY-SA
 • tepurekoda by www.oneinchpunch.net/.../astonishing-graphic-renderings-with-adobe-illu... & eLimu used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.