Vyombo mbalimbali

- Vyombo ni vitu vyovyote vya kufanyia kazi.

- Kwa kawaida, vyombo huwezesha kazi ifanywe kwa haraka na kwa rahisi. Kunavyo vyombo aina nyingi.

- Vingine hutumika jikoni, shambani, karakarani, hospitalini, ofisini, biasharani n.k.

 

Samani/Fanicha Hivi ni vyombo vya kiamboni.

Samani/Fanicha Hivi ni vyombo vya kiamboni.

Samani/Fanicha Hivi ni vyombo vya kiamboni.

Samani/Fanicha Hivi ni vyombo vya kiamboni.

 

Vyombo katika karakana

- Karakana ni mahali pa kutengenezea vitu. Baadhi ya vifaa vinavyopatikana hapa ni kama vifuatavyo:

 

Zoezi 6. A. Jibu maswali yafuatayo kikamilifu.

Tumia haya maneno. bikari, panka, bilula, taipureta, jenereta, mtaimbo, milizamu, kitindio, panchi, kifyonzavumbi, uyoka, kamera, winchi, swichi, pantoni

1. Chombo cha kutobolea mashimo karatasini ni ___________.

2. Chombo cha kutilia kisu makali ni ___________.

3. Chombo cha kuvunjia mawe na kuinulia vitu ni ___________.

4. Chombo cha kufungia au kufungulia maji mferejini ni ___________.

5. Mashine ya kuonyeshea vitu vilivyomo ndani k.v. chembe za mwili ni ___________.

6. Ufagio wa umeme utumiwao kwenye mazulia ni ___________.

7. Kifaa kidogo cha kunyofolea ndevu ni ___________.

8. Mashine madogo ya kutolea maandishi ni ___________.

 

Vyombo katika karakana Karakana ni mahali pa kutengenezea vitu. Baadhi ya vifaa vinavyopatikana hapa ni kama vifuatavyo:

 

Zoezi A.

Jibu maswali yafuatayo kikamilifu. Tumia haya maneno. bikari, panka, bilula, taipureta, jenereta, mtaimbo, milizamu, kitindio, panchi, kifyonzavumbi, uyoka, kamera, winchi, swichi, pantoni

 

9. Chombo cha kupigia picha ni ___________.

10. Mtambo wa kutoa nguvu za umeme ni ___________.

11. Mtambo wa kuinulia mizigo mizito ___________.

12. Chombo cha majini cha kuvushia mizigo, watu n.k___________.

13. Kifaa cha chuma kizungukacho na kule•ta ubaridi ___________.

14. Kifaa kinachotumika kuzima au kuanzisha mkondo wa umeme kusambaa kwenye waya ___________.

15. Chombo cha kuchorea duara katika hesabu za maumbo ___________.

 

B. Eleza matumizi ya vyombo vifuatavyo.

1. Timazi

2. Msumari wa hesi

3. Pimamaji

4. Chenezo

5. Tumbuu

6. Pishi

7. Spana

8. Mtaimbo

9. Mizani

10. Mvukuto • K.4.31.2 by eLimu used under CC_BY-SA
 • K.4.31.3 by eLimu used under CC_BY-SA
 • K.4.31.4 by Unknown used under Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License
 • K.4.31.5 by eLimu used under CC_BY-SA
 • K.4.31.6 by Unknown used under Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License
 • vyombo1 by elimu used under CC_BY-SA
 • vyombo2 by elimu used under CC_BY-SA
 • vyombo3 by elimu used under CC_BY-SA
 • vyombo4 by elimu used under CC_BY-SA

 • Creative Commons License
  All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.