Sayari

Sayari ni dubwana linalopatikana angani na hulizunguka jua. Kunazo zaidi ya sayari tisa zinazozunguka jua. Zinazojulikana zaidi ni tisa.

Sayari hizo hupata mwangaza kutoka kwenye jua. Kati ya sayari hizi tisa, ni dunia tu ambapo binadamu huishi.

Sayari nyingine inayoaminika kuwa viumbe vinaweza kuishi ni Mirihi.

Sayari

  1. Zaibaki/zebaki - Sayari ya kwanza iliyo karibu sana na juukatika mpangilio wa umbali wa sayari kutoka kwa jua.
  2. Ngandu/zuhura - Sayari katika mfumeo wa jua ambaye ni ya pili kutoka kwenye jua.
  3. Dunia - Ni sayari ambayo watu, wanyama na mimea  huishi.
  4. Mirihi/sayari nyekundu - Sayari 
  5. Mshtarii 
  6. Zohali - sayari moja inayozunguka jua yenye peteo na miezi kumi na ni ya sita katika mpagilio wa umbali ea sayari kutoka kwa jua.
  7. Kausi 
  8. Sarateni
  9. Utaridi 

ZOEZI

Jaza nafasi kikamilifu.

1. Sayari iliyo kubwa zaidi kati ya zote ni ipi?

2. Sayari iliyo na joto zaidi ni ipi?

3. Kulingana na utafiti, ni sayari ipi isipokuwa dunia inayoaminika kuwa binadamu anaweza kuishi?

4. Ni sayari ipi iliyo na baridi zaidi?

5. Sayari ipi inayoaminika kuwa na miezi mingi zaidi?

6. Taja sayari mbili zilizopakana na dunia.

(i) ___________ (ii) ___________.

7. Ni sayari ipi ndogo kuliko zote tisa?

8. Ni sayari ipi iliyo katikati ya zote?

9. Ni sayari ipi jirani ya utaridi?

10. Taja sayari tatu zinazoyachukua masafa marefu zaidi kulizunguka jua.